Je unataka kuanzisha biashara yako mpya? Je unahitaji kuchagua mwenza wako wa maisha ya ndoa? Je unahitaji elimu gani uisome itakayokuletea manufaa duniani na Akhera? Je unahitaji kununua nyumba au ardhi? Je unataka kuchukua yatima na kumlea katika khayr?
Zingatio
Zingatio La Wiki,
Zingatio: Krismasi: Kutafuta Elimu Ni Wajibu
Naaswir Haamid
Mwenye kumtii Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Sallam) basi hakika amemtii Allaah, na mwenye kumuasi Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Sallam) hakika amemuasi Allaah Subhaanahu Wa Ta’ala). Kwa masikitiko makubwa baadhi ya sisi Waislamu tunamtii Shaytwaan (Ibiliys) na hivyo kumuasi Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Sallam).
Ukweli ni kwamba kila sekunde yetu hapa duniani ni yenye kuhesabiwa kwa udhati wa uhakika wake. Ndio kusema kuwa tunachunguzwa dhidi ya matendo yetu na tunamurikwa kwa tochi ya Allaah Mtukufu.
Zingatio: Ibilisi Hakati Tamaa
Naaswir Haamid
Zingatio: Kitabu Kitukufu
Imetayarishwa Na: Naaswir Haamid
Zingatio: Dunia Imeponywa Kwa Kuja Nabiy
(Swalla Allaahu ‘Alayhi Waalihi Wa Sallam
Naaswir Haamid
Zingatio: Mwanamme Ndio Kiongozi Wa Mwanamke
Naaswir Haamid