|
Ugali Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Kuchoma, Nyanya Mshumaa Za Kukaanga, Achari |
|
Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma Wa Tanduri |
|
Wali, Maharage Na Kamba Wa Rojo |
|
Zurubiani (Wali Wa Ki-Saudia) |
|
Wali Wa Dengu Kwa Samaki Wa Kukaanga |
|
Wali Wa Samaki Na Mboga |
|
Pilau Ya Nyama Kusaga, Adesi Za Brauni Na Zabibu (UAE) |
|
Makbuus Dajaaj/ Machbuus ya Kuku (U.A.E) |
|
Mbatata/Viazi Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe |
|
Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe-1 |
|
Koshari Na Sosi Ya Kuku - (Misri) |
|
Kidheri - Makande |
|
Hariys - Bokoboko La Kuku |
|
Malfuuf (Mviringisho) Wa Wali Na Nyama Katika Kabeji |
|
Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga |
|
Viazi Vya Nazi Kwa Nyama |
|
Pilau Ya Nyama Ya Mbuzi Kwa Kachumbari Ya Asili |
|
Haleem Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan |
|
Biriani Ya Nyama Ya Ng'ombe -2 |
|
Ugali Kwa Mchuzi Wa Nazi Wa Nyanya Chungu/Mshumaa/Ngogwe Na Bamia, Mboga Ya Matembele Na Samaki Wa Kukaanga |
|
Biriani Ya Tuna |
|
Biriyani Ya Kuku (kavu) |
|
Mahshi Waraqah ‘Anab - Majani Ya Zabibu Yaliyojazwa (Shaam) |
|
Hariys- Bokoboko La Nyama Ya Ng’ombe |
|
Biriyani Ya Kababu |
|
Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi |
|
Pilau Ya Nyama Kondoo Na Mtindi |
|
Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon |
|
Makbuus Samak/ Makbuus ya Samaki (U.A.E) |
|
Mpunga Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Nyama Ng’ombe Na Mchicha |