Kauli Za Salaf: ‘Ilmu-Da’wah
‘Ilmu-Da’wah
Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) amesema:
Dunia yote ni kiza isipokuwa Majaalis Al-‘Ulamaa (vikao vya Wanachuoni)
Kutumia Hikmah Katika Majaalis Ya ‘Ilmu Kutokuwapa Uzito
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
Kueneza ‘Ilmu Ya Dini Ya Allaah Ni Jihaad Fiy Sabiyli-LLaah
Imaam ‘Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam ‘Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
Aayat Za Qur-aan Ni Hazina Ukiziingia Usitoke Mpaka Uzifahamu Vyema
Imaam Sufyaan Bin ‘Uyaynah (Rahimahu Allaah)
‘Ilmu Ni Funguo Za Furaha Duniani Na Aakhirah Kuacha Dalili
Haitoshi Kuwa Na 'Ilmu Pekee
Madhambi Yanasababisha Mtu Kuisahau ‘Ilmu Na Yale Aliyojifunza
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
Hakika Miongoni mwa Madhambi yanaweza kuwa ni sababu ya kufichika 'ilmu yenye kunufaisha, bali yanaweza kuwa ni sababu ya (mtu) kusahau yale aliyojifunza.