Kauli Za Salaf: ‘Ilmu-Da’wah

Imaam Al-Albaaniy - Jiepusheni Na Siasa
Shaykh Swaaih Al-Fawzaan - Haitoshi Kuwa Na Elimu Pekee
Imaam Ibn Al-Qayyim: Elimu Ni Funguo Za Furaha Duniani Na Aakhirah: Elimu Ya (kumjua) Allaah Ni Msingi Wa Elimu Zote
Imaam Ibn Al-Qayyim: Elimu Ni Funguo Za Furaha Duniani Na Aakhirah: Mwenye Kutenda 'Amali Bila Ya Elimu Ni Sawa Na Msafiri Asiyekuwa na Mwongozo.
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah: Kuzungumza Juu Ya Watu Kuwe Kwa Uadilifu Hata Kwa Unaokhitalifiana Nao
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah: Mwanachuoni Anaweza Kumtambua Mjinga Lakini Mjinga Hawezi Kumtambua Mwanachuoni
Ibn Mubaarak - Anayefanyia Ubakhili Elimu, Hutahiniwa Kwa Mambo Matatu
Imaam Ibn Al-Jawziy: Eneza Elimu Iendelee Baada Ya Kufariki Kwako
Imaam Al-Albaaniy - Tunazunguka Na Dalili
Shaykh Fawzaan: Usipuuzie Kuhudhuria Vikao Vya Kielimu
Imaam Ahmad: Eneza Haki Na Sunnah Na Jiepushe Na Mijadala Na Magomvi
Imaam Ash-Shaafi’iy - Elimu Ni Ile Yenye Kunufaisha Na Si Ile Iliyohifadhiwa
Imaam Al-Albaaniy - Hatujakalifishwa Kuzitia Nyoyo Uongofu
Imaam Ibn 'Uthaymiyn:Ingelikuwa Si Kuogopa Adhabu Ya Allaah Kuficha ‘Ilmu Nisingelimfutu Mtu
Imaam Maalik: ‘Ilmu (Elimu) Isichukuliwe Kutoka Kwa Aina Nne Za Watu
Shaykh Zayd Al-Madkhaliy: Ee Mwanafunzi Zidisha Juhudi Katika Kutafuta Elimu
Imaam Hasan Al-Baswriy: Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa
Ulimwengu Upo Katika Ugeni Kutokana Na Uchache Wa Elimu Na Ahlul-'Ilm
Imaam Ibn 'Uthaymiyn - Mkataa Haki Aamiliwe Kwa Yanayomstahiki
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah - Ladha Ya Elimu
Imaam Ibn Baaz - Nasaha Kwa Du'aat Wa Kisalafi
Imaam As-Sa'diy: Kila Elimu Iliyo Na Mwongozo Wa Khayr Na Kuhadharisha Na Maovu Ni Elimu Yenye Manufaa
Imaam Al-Albaaniy: Nasiha Kuendelea Na Da’wah Na Kujitenga Na Siasa
Imaam Ibn Al-Qayyim - Kutenda Bila Elimu Kunapelekea Katika Maangamivu