Wadhakkir: Hadiyth

001-Wadhakkir: Msitukane Maswahaba Wangu Kwani Ninaapa Kwa Yule Ambaye Nafsi Yangu...
002-Wadhakkir: Enyi Watu Tubieni Na Ombeni Maghfirah Kwa Allaah Kwani Mimi Natubia Mara Mia Kwa Siku
003-Wadhakkir: Muislamu Ni Yule Anayewaekea Amani Waislamu Kwa Ulimi Na Mkono Wake Na Mhamaji Ni Anayeacha Aliyoyakataza Allaah
004-Wadhakkir: Sijaacha Jambo Lolote Litakalokukurubisheni Na Jannah Ila Nimekuamrisheni Na Sijaacha Lolote La Kukuepusheni Na Moto Ila Nimekukatazeni
005-Wadhakkir: Hadiyth: Allaah Amesema: Toa (Mali Katika Njia Ya Allaah) Ee Mwana Aadam, Nami Nitakupa
006-Wadhakkir: Atakayeapa Pasi Na Allaah, Atakuwa Amekufuru Au Amemeshirikisha Allaah
007-Wadhakkir: Hadiyth: Aliyeweka Nadhiri Kumtii Allaah Atimizie, Lakini Aliyeweka Nadhiri Kumuasi Allaah Asimtii
008-Wadhakkir: Hadiyth: Dirham Ya Ribaa Ni Mbaya Zaidi Kuliko Kuzini Mara Thelathini Na Sita
009-Wadhakkir: Hadiyth: Watu Waovu Kabisa Wanaofanya Makaburi Kuwa Mahali Pa ‘ibaadah
010-Wadhakkir: Hadiyth: Ikiingia Ramadhwaan, Milango Ya Jannah Hufunguliwa, Milango Ya Moto Hufungwa
011-Wadhakkir: Hadiyth: Atakayefunga Ramadhwaan Kwa Iymaan Na Kutaraji Malipo Ataghufuriwa Madhambi Yake Yaliyotangulia
012-Wadhakkir: Hadiyth: Kuleni Daku Kwani Kuna Barakah Katika Daku
013-Wadhakkir: Hadiyth: Swiyaam Ni Ngao Dhidi Ya Moto, Kama Ngao Ya Mmoja Wenu Katika Mapigano
014-Wadhakkir: Hadiyth: Asiyeacha Kusema Uongo Na Vitendo Vibaya Basi Ajue Kuwa Allaah Hana Haja Na Swawm Yake Katika Kuacha Chakula Chake Na Kinywaji Chake
015-Wadhakkir: Hadiyth: Atakayefunga (swawm) Siku Moja Kwa Ajili Ya Allaah, Allaah Ataubaidisha Uso Wake Na Moto Masafa Ya Miaka Sabini)
016-Wadhakkir: Hadiyth: Peponi Kuna Milango Minane Mmojawapo Uitwao Rayyaan, Hawauingii Isipokuwa Asw-swaaimuwn (Wafungaji).
018-Wadhakkir: Hadiyth: Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) Ameamrisha Vijana Na Vikongwe Wakaswali 'Iyd Na Wanawake Wenye Hedhi Wajitenge Katika Muswallaa.
017-Wadhakkir: Hadiyth: Rasuli Wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) Alikuwa Hatoki Kwenda Kuswali Swalaah Ya ‘iyd Ila Baada Ya Kula Tend Na Akila Kwa Hesabu Ya Witr.
019-Wadhakkir: Hadiyth: Ghuslu Siku Ya Ijumaa Ni Wajibu Kwa Kila Muislamu Aliyebaleghe.
020-Wadhakkir: Hadiyth: Swalaah Iliyo Bora Kabisa Baada Ya Fardhi Ni Swalaah Ya Usiku.
021-Wadhakkir: Hadiyth: Swalah Ya Jamaa Ni Bora Kuliko Swalah Ya Pekee Kwa Daraja Ishirini Na Saba.
022-Wadhakkir: Ameniusia Rafiki Yangu Swalla Allahu ‘alayhi Wa Sallam Kufunga Siku Tatu Kila Mwezi, Kuswali Rakaa Mbili Dhuhaa Na Witr.
023-Wadhakkir: Siku Kumi Bora Kabisa Za Allaah Ambazo 'Amali Zake Zinapendwa Mno Na Allaah Kuliko Kwenda Vitani
024-Wadhakkir: Swawm Ya 'Arafah Inafuta Madhambi Ya Mwaka Ulopita Na Wa Baada Yake.
025-Wadhakkir: Kuswali Jamaa 'Ishaa Na Alfajiri Ni Kama Kufanya 'Ibaadah Usiku Kucha.
026-Wadhakkir: Watengenezaji Picha Wataabidhibiwa Motoni.
027-Wadhakkir: Kumswalia Nabiy Swalla Allaahu 'alayhi Wa Sallam Popote Ulipo Kunamfikia.
028-Wadhakkir: Muumini Kwa Muumini Ni Mfano Wa Jengo.
029-Wadhakkir: Dini Ni Nasiha
030-Wadhakkir: Fadhila Ya Swalah Ya Alfajiri Na 'Ishaa