Maswali Ya Swawm - Yanayobatilisha-Yasiyobatilisha

Amefanya Kheri Kufuturisha Watu Amezuliwa Kuwa Amesababisha Maasi. Afanyeje Na Ndugu Hawasemi Naye?
Kukamua Chunusi Usoni Kunabatilisha Swawm?
Kujisafisha Masikio Kunabatilisha Swawm?
Kufanya Jimai Katika Mwezi Wa Ramadhaan
Kumchezea Mke Mwenye Hedhi Katika Ramadhaan
Swawm Yake Inakubaliwa Ikiwa Hasemi Na Mume Wake?
Amekhasimiana Na Mwenziwe, Je, Swawm Yake Sahihi?
Sindano ya Ganzi na Kung'oa Jino Inavunja Swawm?
Kutoa Damu Hakubatilishi Swawm
Kutengeneza Au Kupunguza Ndevu Kunaharibu Swawm?
Kupaka Dawa Ya Maumivu Ya Kichwa Inabatilisha Swawm?
Mume Msafiri Anamtamani Mkewe Katika Ramadhaan
Kuzini Ramadhaan (Usiku) Na Kutofunga Mchana Wake Nini Hukmu Yake? Na Afanye Nini Hata Asamehewe Na Allaah
Kufuturu Kabla Ya Kuswali Magharibi Inafaa?
Kufungua Swawm Mapema Katika Miji Ya Afrika Mashariki
Kuoga Na Kufanya Wudhuu Nusu Saa Kabla ya Kufuturu
Kusafisha Meno Kwa Dawa Kunabatilisha Swawm?
Niliposukutua Maji Yalishuka Kooni Bila Ya Kukusidia Kuyameza Je, Swawm Yangu Imeharibika?
Akiota Ndoto Ya Jimai, Mchana Wa Ramadhaan, Afanye Ghuslu? Je, Aendelee Na Swawm Au Inabatilika?
Afuturu Jua Linapozama Au Afuate Ratiba Waliyopewa Japokuwa Jua Halijazama Kabisa?
Hukmu Ya Ghiybah (Kusengenya) Katika Mwezi wa Ramadhaan
Hajatia Niyyah Ya Kusoma (Kutamka), Je, Swawm Yake Itakuwa Sahihi?
Amesikia Muadhini Wa Alfajiri Hali Akiwa Anakunywa Je, Swawm Imesihi?
Kutokwa na Manii kwa Matamanio Ramadhaan Bila Ya Kitendo Cha Ndoa
Kupiga Mswaki Kwa Kutumia Dawa (Toothpaste) Kunabatilisha Swawm?
Kusafisa Mafigo (Kidney Dialysis) Inabatilisha Swawm?
Hukmu Ya Swawm Ikiwa Amelala Na Janaba Hadi Jua Likatoka
Kitendo Cha Ndoa Wakati Wa Ramadhaan
Kuzini Mchana Wa Ramadhaan Na Usiku Wake
Kuzini Ramadhaan (Usiku) Na Kutofunga Mchana Wake

Pages