Kauli Za Salaf 'Ibaadah za Misimu

Shaykh Fawzaan - Alama Za Kukubaliwa (Matendo) Katika Ramadhwaan
Abuu Bakr Al-Warraaq Al-Balkhiy: Rajab Kupandikiza Mbegu Sha'baan Kutilia Maji Ramadhwaan Kuchuma Matunda
Imaam Ibn Rajab: Swiyaam Za Mwezi Wa Sha’baan Kulinganisha Na Swiyaam Za Miezi Mitukufu Na ‘Ibaadah Nyinginezo
Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad: Adabu Za Sha’baan – Si Sunnah Kufunga Swiyaam Mwezi Mzima
Imaam Ibn Rajab: Kukithirisha Swawm Na Kusoma Qur-aan Katika Sha'baan Kwa Maandalizi Ya Ramadhwaan
Imaam Ibn Rajab: Hikmah Ya Kukithirisha Kufunga Swiyaam Katika Sha’baan
Imaam Ibn Rajab: Swiyaam Za Sha’baan Ni Mazoezi Ili Mtu Asipate Mashaka Swiyaam Za Ramadhawaan
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Sharh Thawabu Za Kumfuturisha Mwenye Swawm
Imaam bn Rajab: Swiyaam Ni Miongoni Mwa Subira Na Thawabu Zake Hazina Hesabu
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Nasiha Kwa Maimaam Wa Misikiti Waswalishe Qiyaamul-Layl Kwa Utulivu
Shaykh Fawzaan - Swawm Si Kuacha Kula Na Kunywa Pekee
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Ramadhwaan Ni Katika Neema Za Allaah Kwa Waja Wake
Imaam Ibn Baaz: Nasiha Kwa Waislamu Kupokea Ramadhwaan Kwa Tawbah Ya Kweli Na Kujifunza ‘Ilmu Ya Dini Yao
Imaam Ibn Rajab: Vipi Muumin Yasimtoke Machozi Kwa Kuondoka Ramadhwaan ?
Imaam Ibn Al-Qayyim: Ingekuwa Laylatul-Qadr Inapatikana Mwaka Mzima
Imaam Ibn Rajab: Ramadhwaan Inaaga Chukua Fursa Masiku Yaliyobakia Kutenda Mazuri
Imaam Ibn Baaz: Usiku Wa Laylatul-Qadr Hubadilika Kila Mwaka
Imaam Ibn Rajab: Kuomba Al-‘Afwu Kwa Allaah Laylatul-Qadr Na Kusameheana
Imaam Ibn Hajar: Sababu Za Utukufu Wa Masiku Kumi Ya Dhul-Hijjah
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Chukua Fursa Kutenda Mema Masiku Kumi Dhul-Hijjah
Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad: Adabu Za Sha’baan (Na Muharram) – Kufunga Siku Nyingi Si Kukamilisha