Wadhakkir: Aayah

001-Wadhakkir: Na Kumbusha Kwani Hakika Ukumbusho Unawafaa Waumini
002-Wadhakkir: Rabb Wetu! Tutunikie Katika Wake Zetu Na Dhuria Wetu Viburudisho Vya Macho Yetu...
003-Wadhakkir: Tanabahi! Kwa Kumdhukuru Allaah Nyoyo Hutulia!
004-Wadhakkir: Mwenye Kumshirikisha Allaah Ataharamishiwa Jannah Na Makazi Yake Yatakuwa Motoni
005-Wadhakkir: Aayah: Enyi Walioamini! Mdhukuruni Allaah Kwa Wingi Na Msabbihini Asubuhi Na Jioni
006-Wadhakkir: Hakika Shaytwaan Kwenu Ni Adui, Basi Mfanyeni Kuwa Ni Adui.
007-Wadhakkir Aayah: Wala Usiseme Nitafanya Kesho Jambo Fulani Isipokuwa Useme: "In Shaa Allaah"
008-Wadhakkir: Aayah: Yatima Usimuonee Na Mwombaji Usimkaripie
009-Wadhakkir: Aayah: Anayetaraji Kukutana Na Rabb Wake Atende 'Amali Njema Wala Asimshirikishe...
010-Wadhakkir: Enyi walioamini! Mmefaridhishwa Swiyaam Kama Ilivyofaridhishwa Kwa Walio Kabla Yenu Mpate Kuwa Na Taqwa
012-Wadhakkir: Aayah: Watakapokuuliza Waja Wangu Kuhusu Mimi, Basi Mimi Ni Niko Karibu Naitikia Du’aa Ya Muombaji Anaponiomba..
011-Wadhakkir: Aayah: Mwezi Wa Ramadhwaan Ambao Imeteremshwa Humo Qur-aan
013-Wadhakkir: Aayah: Hakika Sisi Tumeiteremsha (Qur-aan) Katika Usiku Uliobarikiwa
014-Wadhakkir: Aayah: Hakika Sisi Tumeiteremsha Qur-aan Katika Laylatil-qadr (Usiku Wa Qadar)
015-Wadhakkir: Aayah: Enyi Walioamini! Msifuate Nyayo Za Shaytwaan; Na Yeyote Yule Atayefuata Nyao Za Shaytwaan Basi Hakika Yeye Anaamrisha Machafu Na Munkari.
016-Wadhakkir: Aayah: Enyi Walioamini! Msile Ribaa Mkizidisha Maradufu Juu Ya Maradufu. Na Mcheni Allaah Mpate Kufaulu.
017-Wadhakkir: Na Sikuumba Majini Na Wanaadam Isipokuwa Waniabudu.
018-Wadhakkir: Mdhukuru Allaah Kwa Wingi Katika Ayyaamut-tashriyq (tarehe 11-13 Dhul-hijjah).
019-Wadhakkir: Laana Ya Allaah Kwa Wale Wanaokata Mawasiliano Ya Undugu!
020-Wadhakkir: Waumini Ni Ndugu, Wasuluhisheni Wanapogombana.
021-Wadhakkir: Aliye Na Hadhi Zaidi Ni Mwenye Taqwa.
022-Wadhakkir: Fadhila Za Taqwa Na Kutawakali Kwa Allaah.