Kumswalia Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) Mwanzo, Katikati
Na Mwisho Wa Du’aa Ni Sababu Ya Kutakabaliwa Du’aa
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):
Hakika kumswalia Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) kabla ya du’aa na katikati yake na mwisho wake ni katika sababu kubwa ambayo kwayo hutarajiwa kujibiwa du’aa zingine zote.
[Iqtidhwaa Asw-Swiraatw (2/249)]