Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

19-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Wakati Gani Unaruhusiwa Kurudia Jimai Baada Ya Hedhi?

Atakapokuwa ametwaharika kutokana na damu ya hedhi yote na kutoka kwake kumesimama kabisa, hapo anaruhusiwa kurudia kitendo cha jimai baada ya kuosha sehemu inayotoka damu, akafanya wudhuu au akakoga josho kamili (Ghuslu). Vyovyote kati ya haya matatu atakavyofanya itaruhusiwa kwao kurudia kitendo cha jimai kutokana na kauli ya Allaah سبحانه وتعالى katika Qur-aan:

َ ((فَإِذَا تَطَهَّرْنَ فَأْتُوهُنَّ مِنْ حَيْثُ أَمَرَكُمُ اللّهُ إِنَّ اللّهَ يُحِبُّ التَّوَّابِينَ وَيُحِبُّ الْمُتَطَهِّرِينَ))

 
((Wakishatoharika basi waendeeni Alivyokuamrisheni Allaah. Hakika Allaah Huwapenda wanaotubu na Huwapenda wanaojitakasa))

(Al-Baqarah 2:222)
 

Huu ni msimamo wa Ibn Hazm, 'Atwaa, Qataadah, Al-Awzaa'iy na Daawuud Adh-Dhwaahiriy na Mujaahid kama alivyosema Ibn Hazm, "Zote tatu hizi ni Twahara, kwa hiyo yoyote mojawapo atakayefanya baada ya kusimama hedhi yake, basi atakuwa ni halali kwa mumewe."

Kauli hiyo hiyo inatumika kumaanisha kuwa ni kuosha sehemu ya siri katika Aayah iliyoteremshwa kuhusu watu wa Qubaa:

((فِيهِ رِجَالٌ يُحِبُّونَ أَن يَتَطَهَّرُواْ وَاللّهُ يُحِبُّ الْمُطَّهِّرِينَ))

"…Humo wamo watu wanaopenda kujitakasa. Na Allaah Anawapenda wanaojitakasa" (At-Tawbah 9:108)

Hata hivyo, hakuna dalili yoyote katika Aayah au Sunnah inayoshurutisha Aayah "…Wakishatoharika basi waendeeni Alivyokuamrisheni Allaah…" (Al-Baqarah: 222) inayohusika katika maana tatu hizo, na kufanya hivyo kunahitaji dalili. (huu ni msimamo wa Ibn Hazm)


Book traversal links for Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika (آداب الزفاف في السنة المطهرة)

  • ‹ 18-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Yanayoruhusiwa Anapokuwa Katika Hedhi
  • Up
  • 20-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Kuhalalishwa ‘Azl (Kuchopoa Kabla Ya Kushusha) ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.