|
|
User loginPokea Makala |
FeatureKikokotoo (Calculator) Cha ZakkahZingatio La WikiEwe Nafsi... JichungeNafsi na mwili ni vitu viwili tofauti. Wakati wa kukata roho, nafsi hurudi mbinguni ilhali mwili unarudishwa kwenye ardhi. Nafsi ndiyo inayosikia taabu, shida na kuona raha. Mwili ni wenye kupokea tu hizi raha na shida. Katika hali zote, Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) ndio Muweza wa kila kitu. Yeye ndiye Anayekitambua kiumbe Chake ndani na nje. |
|
|