Skip navigation.
Home kabah

Hadiyth Ya 01 - Mja Wangu Ana Makazi Mazuri Kwangu Ananishukuru

     

Hadiyth Ya 1 

Mja Wangu Ana Makazi Mazuri Kwangu Ananishukuru

 

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ:سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يَقُولُ: ((إِنَّ اللَّهَ عَزَّ وَجَلَّ يَقُولُ: إِنَّ عَبْدِي الْمُؤْمِنَ عِنْدِي بِمَنْزِلَةِ كُلِّ خَيْرٍ يَحْمَدُنِي وَأَنَا أَنْزِعُ نَفْسَهُ مِنْ بَيْنِ جَنْبَيْهِ)) مسند أحمد

Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه   kwamba nimemsikia Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah Aliyetukuka Husema: Hakika mja Wangu Muumini yuko katika makazi mazuri Kwangu. Ananishukuru hata Ninapomtoa roho kutoka baina pande zake mbili)) [Musnad Ahmad]