Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah - Ladha Ya Elimu

Ladha Ya Elimu
 
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
 
 
 
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
 
"Na hakuna shaka kuwa ladha ya elimu (ya shariy'ah) ni ladha kuu kuliko zote. Na ni ladha inayobaki baada ya mauti, na yenye kunufaisha Aakhirah, ni ladha ya elimu kwa Allaah na matendo kwake na iymaan kwake."
 
 
[Majmuw' Al-Fataawa,  mj. 14, uk. 162]
 
 
Share