Fir'awn Na Mkewe Kuhusu Maingiliano Yao
SWALI:
Firaauuni [l.a] aliwahi kumwingilia mkewe?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Fir’auni alimwingilia mkewe siku alizojaaliwa kumwingilia lakini wakati walipotunukiwa kumuokota na kumlea Nabii Musa a.s. hawakuwa na mtoto. Baada ya mwanamke huyo kusilimu na kumfuata Nabii Musa a.s. na kumkanusha mumewe aliteswa na yumkini kuwa baada ya hapo hawakuonana kimwili. Na jambo lenyewe si muhimu katika Imani hata ikiwa alimuingilia au hakumuingilia. Kujua
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


