001-Aayah Na Mafunzo: Herufi Za Mwanzo Katika Baadhi Ya Suwrah

Aayah Na Mafunzo

Al-Baqarah

Herufi Za Mwanzo Katika  Baadhi Ya  Suwrah

الم ﴿١﴾

1. Alif Laam Miym

Mafunzo:

Herufi hizi na nyenginezo kama hizo zinazoanza mwanzoni katika baadhi ya Suwrah, ni katika ‘ilmu ya ghayb ambayo hakuna ajuaye maana zake isipokuwa Allaah (Subhaanahuu wa Ta’aalaa) Imehadithiwa kutoka kwa Abuu Bakr, ‘Umar, ‘Uthmaan, ‘Aliy na Ibn Mas‘uwd  (Radhwiya Allaahu ‘anhum) [Tafsiyr Ibn Kathiyr]

Share