08-Shaykh ‘Abdul-Muhsin Al-‘Abaad: Mume Na Mke Wameingiliana Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Kuridhiana

Mume Na Mke Wameingiliana Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Kuridhiana

 

Shaykh ‘Abdul-Muhsin Al-‘Abaad (Hafidhwahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Mwanamke ambaye mumewe amemuingilia (mchana wa) Ramadhwaan naye yuko radhi. Nini hukmu yake mwanamke huyo?

 

 

JIBU:

 

Ni juu yake mwanamke kulipa kafara na mumewe pia mfano wake (alipe kafara).

 

 

[Fataawaa Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-‘Abaad]

 

 

Share