07-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Nini Hukmu Ikiwa Imaam Atasahau Takbiyrah Za ‘Iyd Mpaka Atakapofikia Kisomo?

Nini Hukmu Ikiwa Imaam Atasahau Takbiyrah Za ‘Iyd Mpaka Atakapofikia Kisomo?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Ikiwa atasahu Takbiyrah katika Swalaah ya ‘Iyd, mpaka akafikia kusoma (Suwrah), itaanguka (itakuwa haina haja tena), kwa sababu Sunnah imepita mahali pake, kama vile atakavyosahau du’aa ya kufungulia mpaka akafikia kusoma (Suwrah) basi huanguka."

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/244)]

 

Share