Wingi Wa Dhambi Kwa Tawhiyd Sahihi Ni Bora
Kuliko Uchache Wa Dhambi Kwa Tawhiyd Iliyofisidika
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
“Wingi wa madhambi kwa Tawhiyd sahihi ni bora kuliko uchache wa madhambi kwa Tawhiyd iliyofisidika.”
[Al-Istiqaamah (1/466)]