Imaam Ibn Baaz: Kitabu Cha Ad-Du’aa Al-Mustajaab Hakifai

 

Kitabu Cha Ad-Du’aa Al-Mustajaab Hakifai

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Kitaab Ad-Du’aa Al-Mustajaab (Kitabu Cha Duaa Ya Kuitikiwa) Ni kitabu ambacho hakiwezi kutegemewa na mtunzi wa kitabu hicho si Mwanachuoni.

Hivyo, tumetoa tanbihi kwa muda mrefu na tumeeleza kuwa hicho kitabu si cha kutegemewa. Wasomaji wanapaswa kutanabahishwa kwamba hakitegemewi kwa sababu kimekusanya Hadiyth dhaifu na za kutungwa.   [Fataawaa Ibn Baaz, mj. 26, uk. 354-355]

 

[Al-Mawqi' Ar-Rasmiy li-Samaahat Ash-Shaykh Al-Imaam Ibn Baaz]

 

 

 

Share