Imaam Ibn Baaz: Tawhiyd Ndio Msingi Wa Yote

 

Tawhiyd Ndio Msingi Wa Yote

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Tawhiyd ni maudhui muhimu na ni msingi wa Dini na msingi wa yote waliyokuja nayo Rusuli (‘Alayhimus-Salaam) kutoka wa mwanzo wao (Aadam) mpaka wa mwisho wao (Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)”

 

 

[Majmu’w Al-Fataawaa (9/63)]

 

 

Share