008-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Twahara: Najsi Zinazosamehewa

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

Mlango Wa Twahara

 

008-Najsi Zinazosamehewa

 

 

 

 

Kuna kauli mbalimbali za Maulamaa kuhusu aina na kiasi cha najsi ambayo inaweza kuingia katika nguo, au mahala, au mwilini na inakuwa ni yenye kusamehewa.  Isipokuwa kidhibiti cha najsi zinazosamehewa ni udharura, kuenea kwa wingi, kuwa ni vigumu kujikinga nayo, na kuwepo tabu na uzito mkubwa katika kuiondosha. [Al-Fiqh Al-Islaamiy wa Adillatuhu (169 – 177)].

 

Share