Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Itikadi Ya Kupindua Viatu Vinapopinduka Haina Dalili

 

 

Itikadi Ya Kupindua Viatu Vinapopinduka Haina Dalili  

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

SWALI:

 

Baadhi ya watu wanasema kuwa kuweko viatu vilivyopinduka juu chini inamaanisha kwamba Malaika haingii katika nyumba hiyo au Allaah Hatoitazama nyumba hiyyo. Je, mnasemaje kuhusu jambo hili?

 

 

JIBU:

 

 

Tunasema:  Hii hakuna dalili yake wala sijui kama kuna kuhusu kupinduka viatu.  Lakini jambo hili limekuwa maarufu kwa watu huenda jambo likawa maarufu kwa watu lakini halina dalili.

 

(Nuwr Alaa Ad-Darb (13/65)]

 

 

Share