Imaam Ibn Rajab: Swiyaam Za Sha’baan Ni Mazoezi Ili Mtu Asipate Mashaka Swiyaam Za Ramadhawaan

Swiyaam Za Sha’baan Ni Mazoezi Ili Mtu Asipate Mashaka Swiyaam Za Ramadhawaan

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Na imesemwa kuhusu Swawm za Sha’baan maana nyengineo ni kuwa Swiyaam ni kama mazoezi kwa ajili ya Swiyaam za Ramadhwaan, ili mtu asije kuingia  katika Swiyaam za Ramadhwaan kwa mashaka na taklifu, bali iwe ameshajizoesha Swiyaam na ameshajiandaa, na akaja kukuta utamu moyoni mwake kutokana na Siwyaam za Sha’baan, na hivo huingia Ramadhaan kwa nguvu na wepesi.

 

 

[Latwaaif Al-Ma’aarif (196)]

 

 

 

Share