Imaam Ibn Al-Qayyim: Funguo Za Kupata Rahmah Ya Allaah Ni Kufanya Ihsaan Katika 'Ibaadah Na Kuwanufaisha Watu

Funguo Za Kupata Rahmah Ya Allaah Ni Kufanya Ihsaan Katika 'Ibaadah Na Kuwanufaisha Watu

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

Funguo za kupata Rahmah (ya Allaah) ni kufanya ihsaan kwa 'Ibaadah ya Muumba, na kujitahidi kuwanufaisha waja Wake.

 

 

[Haadiy Al-Arwaah, uk. 66]

 

 

 

Share