Imaam Ibn Baaz: Mwanamke Inajuzu Kwake Kuadhini Na Kukimisha Swalaah?

 

Mwanamke Inajuzu Kwake Kuadhini Na Kukimisha Swalaah?

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

 

SWALI:

 

Je, inajuzu kwa mwanamke aadhini na akimishe Swalaah?

 

 

JIBU:

 

Haijuzi  katika Shariy’ah kwa mwanamke aadhini wala akimishe Swalaah (Iqaamah) katika Swalaah zake kwani hii ni kwa ajili ya wanaume. Ama wanawake hawajawekewa Shariy’ah ya Adhaana wala Iqaamah, bali waswali bila ya Adhaan wala ‘Iqaamah.

 

[Fataawa Nuwr ‘Alad-Darb 14520]

 

 

Share