Imaam Ibn Taymiyyah: Maswahaba Hawakuwa Wakimsimamia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Walivyojua Anachukia Jambo Hilo

 

Maswahaba Hawakuwa Wakimsimamia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

Walivyojua Anachukia Jambo Hilo

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

 

 “Maswahaba (Radhwiya-Allaahu ‘anhum) hawakuwa wakimsimamia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  kwa vile walijua kuchukiwa kwake hivyo wala hawakuwa wakisimamiana wao kwa wao.” [Mukhtaswar Al-Fataawaa Al-Miswriyyah (2/26-27)]

 

 

 

 

Share