Imaam Ibn Hajar: Balaa Haindoshowi Kwa Bid’ah

Balaa Haindoshowi Kwa Bid’ah

 

Imaam Ibn Hajar (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

 

Amesema Imaam Ibn Hajar (Rahimahu Allaah):

 

Ilipotokea Tauni Misri watu wakakubaliana kufunga (Swiyaam) siku tatu ili kuondosha balaa hilo, hivyo wakakusanyika wakasimama kisha wakaacha, haikupita mwezi ikawa watu wanaokufa kila siku katika mji wa Cairo ni zaidi ya elfu moja.

 

[Badhwl Al-Ma’auwn (329)]

 

 

 

Faida:

Bid’ah kama kufunga (Swawm) kwa pamoja siku makhsusi, kujumuika pamoja kuhitimisha Qur-aan, kuomba du’aa na kufanya Istighfaar kwa pamoja, kusherehekea Mawlid na kadhalika.

 

 

Share