Kokteli Ya Kusafisha (Cleansing Cocktail)
Vipimo:
Kiazi Sukari pamoja na mzizi yake (Beetroot) - 1
Brokoli (broccoli) pamoja na miche yake - 1/2 msongo (bunch)
Figili Mwitu (Cellery) - 2 miche
Karoti - 1
Parsley - 2 misongo
Tufaha (apples) - 2
Namna Ya Kutayarisha
Unahitaji mashine ya kufanyia juisi inayokamua matunda na mboga.
Kidokezo:
Juisi hii inasafisha maini, mafigo na matumbo na kuuweka mwili katika afya.