Hadiyth Ya 03 - Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja mbingu Katika mkono Wake Wa kulia
Hadiyth Ya 3
Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja mbingu Katika mkono
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((يَقْبِضُ اللَّهُ الْأَرْضَ وَيَطْوِي السَّمَاءَ بِيَمِينِهِ ثُمَّ يَقُولُ أَنَا الْمَلِكُ أَيْنَ مُلُوكُ الْأَرْضِ)) البخاري و مسلم
Kutoka kwa Abu Hurayrah رضي الله عنه kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah Atainyakua dunia yote na atazikunja mbingu kwa kwa Mkono Wake wa kulia. Kisha atasema: Mimi Ndiye Mfalme. Wako wapi wafalme wa ardhi?)) [Al-Bukhaariy na Muslim]
- Login or register to post comments
- Email this page


