Bibi Aliyemlea Na Amefariki Anaweza Kumuombea Du'aa Na Kumfanyia Wema? Du’aa Gani Ya Kuwaombea Waliofariki?
SW
A.aleikum. Napenda kuuliza bibi yangu mzaa mama amefariki ambae ndie mlezi wangu na nampenda kama mama toka nafungua macho namuona yeye, je nikimaliza kusali naweza kumuombea duaa “rabbi arhamhumaa
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwanza kabla hatujajibu swali lako, tunakukumbusha kuwa unapoandika Salaam hazifai kufupishwa kwa kuandikwa (A.A) au (A.A.W.W.) au kama ulivyoandika kwani haijafundishwa hivyo na pia ni kujikosesha fadhila za Salaam
Shukran zetu za dhati kwa swali lako kuhusu du’aa ya kumuombea bibi yako. Tufahamu kuwa du’aa unayoomba inawafikia hata Waislamu wengine ambao huna uhusiano nao wa kidamu
“Na waliokuja baada
Kwa hiyo yule aliyekulea na akawa na uhusiano nawe wa kidamu du’aa zako za kila wakati na hasa zile nyakati za kukubaliwa
“Na ya kwamba hatapata mtu ila aliyoyafanya mwenyewe? Na kwamba vitendo vyake vitaonekana?” (53: 39 – 40).
Ibn Kathiyr anasema kwamba hivi ni vitendo alizofanya Muislamu akiwa hai na mtoto ni katika vitendo vyake. Na kwa kuwa bibi alikufanyia wema, na hakuna ihsani iliyo kubwa
Pia unaweza ukawa unamtolea sadaka kwa niaba yake au ukapeleka misahafu Msikitini na Madrasa, kwani kusomwa ule msahafu na watoto au yeyote inampatia marehemu thawabu kutoka kwa Allaah Aliyetukuka.
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


