Uzinduzi II
Ulianza ushindani baina ya watukufu na mujtahidina kwa ajili ya kupata khumus, na kwa ajili hii alianza kila mmoja kati yao kupunguza kiasi kinachotakiwa kuchukuliwa kutoka watu mpaka watu wawe wengi kwake kuliko mwezake, wakajiwekea njia za kishetani, mtu mmoja alikuja kwa Asayid Asaysataniy akasema kumwambia :-
Hakika haki ya khumus ninayo takiwa kutowa ni milioni tano .nami nataka kutoa nusu ya kiwango hicho yani milioni mbili na nusu,akamwambia Asayid Asasystaniy: lete hiyo milioni mbili na nusu, akampa Asaystaniy akazipokea, kisha akamwambia : nimekupa wewe - yaani syyid Asaystani akampa yule bwana alieleta zile hela - yule mtu akaichukua kisha, akasema asasystaniy: rejesha tena kwangu hizo hela yule mtu akampa tena,Asaystaniy akamwambia sasa imekua mkusanyiko wake milioni tano dhima yako imeishaondoka katika khumsi, mabwana wakubwa wengine walipoyaona hayo wakafanya hivyo hivyo bali wakavumbua njia nyingine,ili watu waende kutowa khumsi kwao na yakawa ni mashindano kati ya mabwana wakubwa kwa ajili ya kupata khumsi , na ikawa kiwango cha khumus kinafanana na biashara ya kupunguziana ,matajiri wengi wakawa wanaitowa khumsi kwa anae chukua kiasi kidogo .
Na mkuu wachuo cha najaf alipoona kuwa mashindano yamekuwa makubwa na kiwango kinacho ingia kwake ni kidogo, alitowa fatwa yake inayokataza kupewa khumsi mtu yoyote kati ya watukufu, bali haitolewi isipokua kwa watu maalumu, nae anafungu kubwa au mawakala wake alio wasambaza maeneo mbalimbali.
Na baada ya kuzipokea mali hizi akawa anazibadilisha kwa dhahabu kwa sababu ya hali duni ya hela ya iraki wakati huo , kiasi ambacho sasa hivi anamiliki vyumba viwili vya dhahabu .Ama kuhusu kiasi wanacho tumia mawakala wake sema utakavyo .
Amesema Amirl muuminin(a.s)L wema ulioje kwa wenye kujitenga na dunia na wakiwa na raghba ya akhera, basi hao ndio walioifanya ardhi vitanda na mchanga wake kuwa ni godoro na maji yake kuwa ndio manukato na Qur-an ni alama yao , na dua ndio nguo yao, kisha wakaikopa dunia kwa mfumo wa masihi……. Hakika Daudi (a.s) alisimama mfano wa saa hii ya usiku , na akasema hakika ya saa hiii hatoomba mja isipokua hujibiwa , isipokuwa awe Ahara u ayfa au Shartiya .[ Nahajul Balagha 4/24] hebu linganisha kati ya maneno ya Amirilul muuminin na hali za watukufu wa kishia na hukumu wewe mwenyewe , hakika maelezo haya na mengineyo ni katika maelezo matukufu ambayo hayana kasoro yoyote mbele ya mabwana wakubwa na wanazuoni wa kishia , lakini maisha ya fahari na raha na yafahari ambayo wanayaishi yamewasahaulisha juhudi ya amiril-mumini na yakawafanya vipofu wasiweze kuzingatia maneno yake na kushikamana na maana ya maneno hayo.
Hakika asshar ni yule anayechukua kodi ya sehemu ya kumi katika mali ,huyu dua yake haipokelewi
UZINDUZI MWINGINE:
Kutokana na hayo yaliyo tangulia tumekwisha fahamu ya kuwa khumsi haitolewi kwa mashehe wala wanazuoni ,na limekuwa wazi jambo hili kwetu kufuatia maelezo ya maudhui hii tuliyo yatowa kwa pande zake zote ,na ni vizuri kwetu kuzindua kua mafakihi na marejeo ya kidini(wanazuoni) wanadai kuwa wao ni katika Ahlu Bait, utamuona moja wao akikuonesha mtiririko wa nasaba yake mpaka kwa kadhim (a.s), jua kwamba ni jambo lisilo wezekana kwa idadi kubwa hii yote ya wanazuoni wa Iraqi Irani sirya Lebanon nchi za ghuba na Pakistan na nyenginezo kua ni katika Ahlul-baiti , na kuhesabu wanazuoni wa Iraqi tu ataona kua ni jambo lisilo wezekana kuwa idadi yote hiyo ya wanazuoni wa Iraqi ni katika Ahlul-baiti , vipi itawezekana tukichanganya na wanazuoni wa miji mingine?bila shaka idadi yao ni kubwa sanasana je itawezekana vipi wote hawa wawe ni katika Ahlul-baiti ???
Na zaidi ya hayo mti wa nasabu ya mtume unauzwa na kununuliwa hapa chuoni , anaetaka kuupata utukufu wa nasabu ya Ahlul Bait ni juu yake kuja na dada yake au mke wake kwa sharti awe mzuri kwa mtukufu mmoja wapo ili astarehe nae,au aje na kiwango cha mali na atapata utukufu kwa moja kati ya njia mbili hizi:- na hili ni jambo maarufu hapa chuoni kwetu (CHUO CHA KISHIA CH ANNAJAF).
kwa ajili hiyo ninasema yasiwahadae yale ambayo wanayafanya baadhi ya watukufu,na waandishi wakati anapoweka mmoja wao mti wa nasaba yake katika ukurasa wa mbele wa kitabu chake ni kwa ajili ya kuwahadaa watu wepesiwepesi matajiri na masikini ,ili wampelekee khumsi za
Na mwisho wa utafiti wa khumus sitosahau kuitaja kauli ya rafiki yangu mpenzi mshairi hodari Ahmad Al Safy Al Najafiy(r.a) ambae nilifahamiana nae baada yakupata shahada ya Ijtihadi tukawa marafiki wapenzi achilia mbali tofauti ya umri ilopo kati yetu , kwani alikuwa akinizidi kwa miaka takriban thelathini au zaidi ,nakumbuka alipo niambia mwanangu usiichafuwe nafsi yako kwa mali ya khumsi kwani ni mali ya haramu , na akanidadisi kuhusu khumsi mpaka akanikinaisha kua ni haramu , kisha akanitajia beti za shairi alilokuwa amelitunga kwa ajili hii, ambazo nilizihifadhi kwenye mfuko wangu wa kumbukumbu , na hapa ninazinukuu kwa kwa faida ya wasomaji watukufu kama zilivyo, anasema (r.a),
“Nina washangaa watu, kuomba omba kwa kutumia dini
Basi ikiwa kupata elimu ndio sababu ya kuomba omba basi itakuwa ujinga ni bora kuliko elimu, na je katika zama za Mtume(s.a.w) kulikuwa na watu wanaoishi kutegemea mali za watu kwa jina hilo? Na hata kama Mwenyezi Mungu ameifaradhisha zaka basi hakuna kuchukuliwa kwa udhalilishaji basi kwa malengo, wametuletea watoto wa sasa ni kazi,na haikua kwa watoto ni geni hilo toka zamani.
- Login or register to post comments
- Email this page


