009 - Swali La 9: Ni Ipi Hiyo Niyyah Ya Kweli?

Swali La 9 :

 

Ni ipi hiyo niyyah ya kweli?

 

Jibu: 

 

Hayo ni kuacha uvivu na kuakhirisha akhirisha (mambo) na kutoa juhudi katika kusadikisha kauli yake na vitendo vyake. Allaah (سبحانه وتعالى)

Anasema:   

 

 

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لِمَ تَقُولُونَ مَا لَا تَفْعَلُونَ ﴿٢﴾  كَبُرَ مَقْتًا عِندَ اللَّـهِ أَن تَقُولُوا مَا لَا تَفْعَلُونَ ﴿٣﴾

Enyi mlioamini! Kwanini mnasema yale msiyoyafanya? Ni chukizo kubwa mno mbele ya Allaah kwamba mnasema yale msiyoyafanya.

Share