008 - Swali La 8: Ni Ngapi Sharti Za 'Ibaadah?

Swali La 8:

 

 Ni ngapi sharti za ‘ibaadah?

 

Jibu:

 

Kuna sharti tatu:

 

  • Kuwa na niyyah ya ukweli, ndio sharti la kuwepo kwake
  • Kuwa na niyyah safi
  • Liendane na shariy’ah ambayo Allaah Ameamrisha kutohukumiwa isipokuwa na kwazo, nazo ni sharti mbili za kukubaliwa kwake.
Share