Imaam As-Sa'diy - Kusuhubiana Na Wema Ni Katika Neema Za Allaah

 
Kusuhubiana Na Wema Ni Katika Neema Za Allaah
 
Imaam As-Sa'diy (Rahimahu Allaah)
 
 
 
Imaam 'Abdur-Rahmaan bin Naaswir As-Sa'diy (Rahimahu Allaah) amesema:
 
 
"Miongoni mwa neema kubwa za Allaah kwa mja Muumin, ni kumuwafikisha kusuhubiana na waja wema. Na miongoni mwa adhabu Zake kwa mja Wake, ni kumpa mtihani wa kusuhubiana na waovu."
 
 
[Bahjatu Quluwb Al-Abraar Wa Quratu 'Uyuwn Al-Akhyaar Fiy Sharh Jawaami' Al-Akhbaar]
 
 
Share