Burger Ya Samaki Tuna
Vipimo
Vibati vya samaki tuna - 2
Mikate ya duara (buns) - 10 – 12
Mahindi yaliyokwishapikwa - ½ kikombe
Matango - 2
Mayonaise - 3 vijiko vya kulia
Chumvi - ¼ kijiko cha chai
Pilipili manga - 1 kijiko cha chai
Zaytuni (olives) au vitungule/vinyanya vidogo vya round
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)