Imaam Ibn Al-Qayyim: Elimu Ni Funguo Za Furaha Duniani Na Aakhirah

 

Elimu Ni Funguo Za Furaha Duniani Na Aakhirah

 

Mwenye Kutenda 'Amali Bila Ya Elimu Ni Sawa Na Msafiri Asiyekuwa na Mwongozo.

 

Alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim Al-Jawziyy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Mwenye kutenda 'amali bila ya elimu ni sawa na  msafiri asiyekuwa na mwongozo. Na inajulikana kuwa kuangamia kwake kuko karibu kuliko kusalimika kwake. Na katika hali za nadra ikiwa atakuwa na usalama, (vitendo vyake) havitoshukuriwa, Bali ni kulaumiwa na wenye akili."

 

 

[Miftaah Daar As-Sa’aadah (229/1)]

 

 

 

Share