Imaam Ibn Al-Jawziyy: Kucheza Dansi Na Aina Zake Kuitakidi Ni Kujikurubisha Kwa Allaah Ni Kufru

Kucheza Dansi Na Aina Zake Kuitakidi Kujikurubisha Kwa Allaah Ni Kufru

 

Imaam Ibn Al-Jawziyy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

‘Ulamaa wote wamekubaliana na kuhukumu kwamba kucheza dansi (kudhikiri na kuchezesha vichwa n.k.) kwa ajili ya kujikurubisha kwa Allaah (Ta’aalaa) ni kufru.

 

 

[Swayd Al-Khaatwir (154)]

 

 

 

 

Share