Imaam Abuu Bakr Atw-Twartuwshiy: Baina Ya Mambo Ya Kidunia Na Ya Aakhirah; Chagua Ya Aakhirah Utapata Yote Mawili

 
Baina Ya Mambo Ya Kidunia Na Ya Aakhirah; Chagua Ya Aakhirah Utapata Yote Mawili
 
Imaam Abuu Bakr Atw-Twartuwshiy (Rahimahu Allaah)
 
 
 
 
Imaam Abu Bakr Atw-Twartuwshiy (Rahimahu Allaah) alisema:
 
"Utakapowekewa (uchague kati ya) jambo la kidunia na jambo la Aakhirah basi kimbilia jambo la Aakhirah utapata jambo la kidunia na la Aakhirah."
 
[As-Siyar, mj. 19, uk. 491)]
 
 

 

 

Share