Imaam Ibn Jawziy: Mwenye Akili Avute Subira Katika Majaribio Ya Allaah ('Azza wa Jalla)

Mwenye Akili Avute Subira Katika Majaribio Ya Allaah ('Azza wa Jalla)

 

Imaam Ibn Jawziy (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Ibn Jawziy (Rahimahu Allaah):

 

Dunia imewekwa kwa ajili ya majaribio, basi inampasa mwenye akili aikite nafsi yake juu ya subira.

 

[Swaydu Al-Khaatwir, juz. 1, uk. 393]

Share