Imaam Ibn Al-Jawziy: Mjinga Anatambulika Kwa Mambo Sita

Mjinga Anatambulika Kwa Mambo Sita

 

Imaam Ibn Al-Jawziy  (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Al-Jazwiy (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Mjinga hutambulika kwa mambo sita:

  1. Hughadhibika ovyo bila sababu.
  2. Hutoa kwa ambaye hastahiki kupewa.
  3. Huongea ambayo hayana faida.
  4. Huamini kila mtu.
  5. Hutangaza siri wala hatofautishi baina ya rafiki yake au adui yake.
  6. Kuongea lolote lile linamjia moyoni akidhania kuwa yeye ndiye mwerevu kuliko wote.

 

[Akhbaar Al-Hamqaa- Wal Mughaffaliyn]

 

 

 

 

Share