Imaam Ibn Baaz: Miongoni Mwa Misemo Ya Makosa "Hakuna Shukurani Kwa Waajib"

 

Miongoni Mwa Misemo Ya Makosa

 

"Hakuna Shukurani Kwa Waajib"

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

 

Msemo: "Hakuna shukurani kwa (kutenda) waajib"

Msemo huu ni kosa. Kwa sababu waajib hushukuriwa.

 

 

[Fat-hu Al-Majiyd 3/299]

 

 

 

Share