036-Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kukinaishwa Ulivyoruzukiwa, Kubarikiwa Na Kubadilishiwa Maovu Kwa Khayr

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Kukinaishwa Ulivyoruzukiwa, Kubarikiwa

Na Kubadilishiwa Maovu Kwa Ya Khayr

 

 Alhidaaya.com

 

 

 اللَّهُمَّ قَنِّعْنَي بِمَا رَزَقْتَنَي وَبَارِكْ لِي فِيهِ وَاخْلُفْ عَلَيَّ كُلَّ غَائِبَةٍ لِي بِخَيرٍ

 

Allaahumma qanni-’niy bimaa razaqtaniy, wa Baarikliy fiyhi, wakhluf ‘alayya kulla ghaaibatin-liy bikhayr

 

Ee Allaah, nikinaishe kwa Ulivyoniruzuku, na nibarikie ndani yake, na nibadilishie kila kilichofichika (kiovu) kwa khayr

 

[Al-Haakim na ameipa daraja ya Swahiyh na ameikubali Adh-Dhahabiy (1/510). Ibn Hajar Al-‘Asqalaaniy ameipa daraja ya Hasan katika Al-Futuhaat Ar-Rabbaaniyah (4/384)]

 

 

Share