061-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Uovu Wa Umri, Fitna Za Moyo, Adhabu Za Kaburi

 

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Umri Wenye Uovu Fitnah Za Moyo, Adhabu Za Kaburi

 

 Alhidaaya.com

 

 

 اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ الْجُبْنِ، وَالْبُخْلِ، وَسُوءِ الْعُمُر، وَفِتْنَةِ الصَّدْر، وَعَذَابِ الْقَبْر

Allaahumma inniy a’uwdhu bika minal-jubni, wal-bukhli, wa suuil-‘umri wa fitnatisw-swadri, wa ‘adhaabil-qabri

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako uoga na ubakhili na umri wenye uovu na fitnah za moyo na adhabu ya kaburi.

[An-Nasaaiy, Sunan Abiy Daawuwd kwa usimulizi kuwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akijikinga nayo mambo hayo].

 

 

Share