19-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Je, Mtu Akifunga Siku Tatu Au Tano Kwa Ajili Ya Sitta Shawwaal Atapata Thawabu?

Je, Mtu Akifunga Siku Tatu Au Tano Kwa Ajili Ya Sitta Shawwaal Atapata Thawabu?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Naam, atapata thawabu lakini hatopata thawabu ambazo ameziainisha Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika kauli yake:

 

“Atakayefunga Ramadhwaan kisha akafuatiliza na Sitta Shawwaal itakuwa kama ni Swiyaam ya mwaka” [Muslim]."

 

 

[Fataawaa Nuwr ‘Alad-Darb, Kanda (75)]

 

Share