Kugawa Nyama Ya Udhwhiyah Kama Zawadi Au Swadaqah Iwe Safi Si Ya Kupikwa
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Alhidaaya.com
SWALI:
Je, nyama ya Udhw-hiyah inapogaiwa kama zawadi iwe ni freshi au ipikwe?
JIBU:
Kuigawa kama zawadi au swadaqah iwe freshi si ya kupikwa.
[Majmuw’ Fataawa (25/132)]