Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Anayetahiniwa Kwa Khayr Ashukuru Na Anayetahiniwa Kinyume Chake Avute Subira

Anayetahiniwa Kwa Khayr Ashukuru Na Anayetahiniwa Kinyume Chake Avute Subira

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Anayetahiniwa kwa khayr basi ana jukumu la kushukuru. Na ambaye ametahiniwa kinyume chake basi ana jukumu la kuvuta subira; na kila inapokuwa neema ni kubwa, inawajibika kwake kuishukuru.”

 

 

[Ahkaam Minal-Qur-aan Al-Kariym (1/438)]

 

 

Share