Ingelikuwa Si Kuogopa Adhabu Ya Allaah Kuficha ‘Ilmu Nisingelimfutu Mtu
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
“Isingelikuwa hizaya kuficha 'ilmu na kuogopa adhabu ya Allaah, nisingelimfutu yeyote (nisingelitoa Fatwa kwa mtu) lakini natoa Fatwa kutaraji kusalimka nayo.”
[Majmuw’ Al-Fataawaa (26/419]