Imaam Al-Albaaniy: Dini Si Kwa Kutumia Akili Au Kwa Hisia Za Moyo, Bali Ni Kufuata Hukmu Za Allaah Na Rasuli Wake

Dini Si Kwa Kutumia Akili Au Kwa Hisia Za Moyo, Bali Ni Kufuata Hukmu Za Allaah Na Rasuli Wake

 

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah):

 

“Dini si kwa kutokana na akili (ya mtu) au hisia za moyo, bali ni kufuata hukmu za Allaah katika Kitabu Chake na hukmu za Rasuli Wake katika Sunnah na Hadiyth zake. “

 

 

[Al-Hudaa Wan-Nuwr (530)]

 

 

Share