Imaam Ibn Baaz: Sitta Shawwaal Swiyaam Zifungwe Mfululizo Au Bila Kufufuliza?

 

 Sitta Shawwaal Swiyaam Zifungwe Mfululizo Au Bila Kufufuliza?

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) Na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Inajuzu kuzifunga (Swiyaam za Sitta Shawwaal) mfululizo au kutokufululiza."

 

 

[Al-Fataawaa 15/391)]

 

 

Share