23-Zawadi Kwa Wanandoa: Kuoga Katika Chombo Kimoja

 

Zawadi Kwa Wanandoa

 

23-Kuoga Katika Chombo Kimoja

 

 الإغتسال من إناء واح

 

Inajuzu kwa wanandoa wawili kuoga pamoja katika sehemu moja, imepokewa kutoka kwa 'Aaishah (Radhiya Allaahu 'anha)  amesema:

“Nilikuwa nikioga mimi na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam)  katika chombo kimoja, inapishana mikono yetu ndani yake, na ananianza kwa hilo hadi nasema: niachie … niachie. Akaendelea kusema Bibi 'Aaishah wakiwa hivyo hali ya kuwa ni wenye janaba.” (Muslim)

Share